About

John Mussa Ngwesa
Based in Arusha, Tanzania, Ngwesa has been creating art for over 8 years. Inspired by local artists in Arusha who sold their work to tourists, he developed a deep passion for capturing life through my drawings. His creative process starts with a sketch in his exercise book before refining it with more detail on clean paper, then laminating the final piece.
Through my work, he aims to highlight the beauty of Tanzania’s natural resources and show others that talent is truly a powerful form of capital.
--------
Akiwa makao yake Arusha, Tanzania, Ngwesa amekuwa akifanya sanaa kwa zaidi ya miaka 8. Akiwa amevutiwa na wasanii wa hapa Arusha waliokuwa wakiuza kazi zao kwa watalii, alijenga mapenzi makubwa ya kuonesha maisha kupitia michoro yake. Mchakato wake wa ubunifu huanza kwa kuchora rasimu katika daftari lake kabla ya kuiboresha kwa undani zaidi kwenye karatasi safi, kisha kuilaminate kazi ya mwisho.
Kupitia kazi yake, analenga kuonesha uzuri wa rasilimali za asili za Tanzania na kuonesha kwa wengine kuwa kipaji ni aina yenye nguvu sana ya mtaji.
CV
Showcasing at the Lake Eden Arts Festival (LEAF)
Contact
Instagram:
@voiceofpiece
​
Facebook:
​Voice-of Piece
​
Email: