top of page

ABOUT JAMES HAULE

Based in Tanzania, James Romanus Haule is an artist with a passion for teaching and inspiring others through his work. With over a decade of experience in realism, impressionism, and abstract art, he has created works that are visually captivating and emotionally resonant. His art is driven by the community that surrounds him, his love for natural attractions, and the cultures he experienced.

------

Akiwa makao yake Tanzania, James Romanus Haule ni msanii mwenye shauku ya kufundisha na kuhamasisha wengine kupitia kazi zake. Akiwa na uzoefu wa zaidi ya muongo mmoja katika sanaa ya uhalisia (realism), impressionism, na abstract, ameunda kazi zinazovutia kwa macho na kugusa hisia. Sanaa yake inaendeshwa na jamii inayomzunguka, mapenzi yake kwa vivutio vya asili, na tamaduni alizozipitia.

bottom of page